Ads 468x60px

Recommended Post Slide Out For Blogger

Friday, April 5, 2013

PROFJIIZE CLASSIC BARBER SHOP YADONDOKEA MSASANI MWISHO




 Hivi karibuni tumeshuhudia wasanii wetu wengi wakijaribu kutanua mabawa yao kwa kuanzisha hiki na kile katika upande wa biashara na kuleta maendelea katika jamii yetu, tuna mfano wa IZZO B na biashara zake jijini Mbeya, JAFFARAI na car wash jijini Dar na wengine kibao, leo hii list yetu imezidi kuongezeka baada ya legendary The Heavy Weight MC, Prof Jay ambae ameweka wazi kumiliki Barber shop.
 

"kikubwa nilikua naagali kitu ambacho kinaweza kikwa pamoja na talenti yangu  ilivyo na kipaji na kazi yangu nnayoifanya kila siku. kwahiyo nikiwa na barber shop hata usafi wako mwenyewe, kwasababu sisi wanamziki tunahitaji kuwa wasafi all the time, all day every day, umeelewa, so nikaona ni nifasi ambayo ninweza nikaifanya mimi pamoja na artist wenzangu pamoja na celebrity wengine nasio barber shop tu bali ni classicbarber shop na  ndio maana tukaiita PROFJIZE CLASSIC BARBER SHOP, location ni nzuri, barber shop iko maeneo ya Msasani mwisho, sehem ambayo inaweza ikamaintain celebrity na watu wengine wakubwa katika nchini lakini pia na watu wakawaida ambao wanaweza waka afford gharama za hapa" amesema J
 

Facebook and Twitter

Promo Sites