Ads 468x60px

Sunday, December 9, 2012

HABARI ZA KIZUSHI.....(Justin Bieber Dies In Car Crash)

(Local Team News 9) Justin Bieber died in a single vehicle crash on Route 80 between Morristown and Roswell. He was pronounced dead at the scene by paramedics responding to the vehicle accident and was identified by photo ID found on his body. Alcohol and drugs do not appear to have been a factor in this accident - December 9, 2012
Justin Bieber flipped vehicle Highway Safety Investigators have told reporters that Justin Bieber lost control while driving a friend's vehicle on Interstate 80 and rolled the vehicle several times killing him instantly.

The vehicle was believed to have been traveling at approximately 95 miles per hour in a 55mph zone at the time of the accident.

Witnesses have stated that Justin Bieber's car crossed the double lines several times prior to the accident and hit the center lane divider causing the vehicle to flip and roll.



 Toxicology tests will be performed to determine whether he was driving under the influence, however initial findings indicate that durgs or alcohol did not contribute in any way to this accident as it was more likely to been caused by road conditions.

Memorial services for Justin Bieber have not yet been announced. The service is expected to be a closed casket funeral due to the severe head trauma.

Friday, November 16, 2012

Tuesday, November 13, 2012

Officially Video ya Rihanna - Diamonds

RICK ROSS ABURUZWA MAHAKAMANI KWA KUKIUKA MASHARTI YA MKATABA


Mkali wa Hip Hop kutoka nchini Marekani ambaye hivi karibuni aliitikisa Bongo pale alipopanda jukwaani wakati wa kilele cha Fiesta mwaka huu, Rick Ross,yupo matatani baada ya kushtakiwa na wadhamini wa show aliyofanya hivi karibuni huko Miami.

Ilikuwaje?Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali ikiwemo AllHipHop,kampuni ya SM Global Union ilikuwa imeingia mkataba na Rick Ross (Rozay) kwamba atapiga show isiyopungua lisaa lizima.Ilikuwa alipwe $90,000. Tofauti au kinyume na mkataba huo,Rick Ross, alikuwepo jukwaani kwa jumla ya dakika 15 tu. Kufuatia kitendo hicho,waandaji hao wameamua kumburuza Rick Ross mahakamani na kudai jumla ya $226,000 kama fidia.

HII NDIYO LIST YA TOP 12 YA SHINDANO LA ''THE VOICE''

The Voice-0003-20121002-71.jpgThe Voice

GULIO EXPO CHRISTMAS BAZAAR

HUYU NDIYE SABABU YA MAELEWANO MABAYA KATI YA JUSTIN BIEBER& GOMEZ

Justin Bieber and Barbara PalvinFriday night E! News reported that Justin Bieber and Selena Gomez have decided to go their separate ways, but did this week's Victoria's Secret Fashion Show have something to do with the couple calling it quits?

Huyo manzi akiwa na JB ndiye aliya sababisha kuvunjika kwa mapenzi ya Gomez nz JB

MWANA MUSIC KINDA SELENA GOMEZ ALIFUNIKA MBAYA IN A LOW-CUT DRESS KWENYE GLAMOUR WOMEN OF THE YEAR YEAR Awards

Selena GomezWakati final za "Twilight" film captivated celebrities on the west coast Monday night, the east coast was all about the 22nd annual Glamour Women of the Year Awards held at Carnegie Hall in New York City.
Selana Gomez alifanya mwonekano wake wa  kwanza in public uwe wa mshangao toka awe kimya baada ya skendo ya kuachana na msanii mwenzake yankie JB. Ila si Justin wala Selena hakuna aliye ongelea hili jambo!
The singer/actress wore a white lace Giambattista Valli dress and Rupert Sanderson heels. She carried a Judith Leiber clutch and wore a dazzling Graziela cocktail ring!!!

 Gomez alipata Independent Spirit Award for her film, music and charity work. Others honored at the event included "Girls" creator Lena Dunham, photographer Annie Leibovitz, and female Olympic gold medal winners.

RIHANNA AAMUA KUJA KIVINGINE!!!

Hizi ndizo baadhi ya picha za msanii Rihanna ambaye ameamua kung'arisha baadhi ya majarida makubwa uko STATE!!





GAGA HAISHIWI VITUKO

Lady Gaga in RioLady Gaga jina ambalo si geni masikioni mwa wapenzi wa music, kwani ni mmoja kati ya wasanii wa kubwa na mwenye vituko kila  kukicha!!Lady Gaga showed her love for her Brazilian fans from the balcony akiwa kwenye hotel uko Rio de Janeiro mapema wiki hii. The singer stepped out bila kuvaa ngup ya aina yoyote maneo ya chini ila alivaa  bright yellow soccer shirt ka una vyomwaona kwenye picha!

WAKALI SITA WA CASTLE LAGER SUPERFANS WAPATIKANA!


Shindano la kumsaka shabiki bora maarufu zaidi kwa jina la CASTLE LAGER SUPERFANS limetimia na tayari wamejulikana!.

Pichani ni Meneja wa Bia ya Castle Lager Kabula Nshimo wakati wa kuwataja washindi hao! Kaa tayari kuwajua Superfans wa Castle Lager!

Wednesday, October 31, 2012

Mfahamu Pinda Bwoy from Kino G'z

Pinda bway hez da new Hip-hop n High pitch regge artst started music in 2006 official. Pia nimesha fanya kazi na wasanii wengi tu wana julikana na wasio julikana kwa kuanza ngoma yangu ya kwanza nilifanya dhahabu rec kwa dully kitambo kidogo na msanii anae chipukia pia anaitwa Dan Rock ngoma ya pili ilikuwa inaitwa safari nilifanya na mwanangu mmoja ambae nipo nae kundi moja yeye anaitwa Fuvu Bway na C.E.O wa studio yetu masanjuo recor Mr.Vs pia tupo wote kwenye kundi letu inaloitwa Kino G'z hiyo ngoma ali produce Monangastar. Pia baada ya hapo nilifanya ngoma nyingi tu kali moja alinipa ft Jux pia kuna kollabo inaitwa hii ndo time ya machizi ku shine Chorus yupo Belle9 alafu watu kibao tumepasuka humo mm nipo verse ya tatu ya mwisho akitoka young D ..... 2011 nilifanya mkono na Monagangstar ambao ulikuwa hauna chorus ila ben pol amemaliza hilo tatizo na nyimbo iko tayari ila bado kutolewa kwahiyo watu wakae tayari. Pia kundi letu kama Kino G'z tumefanya mixtape ambayo ina nyimbo kama kumi ila kuna baadhi ya ngoma bado kukamilika but mzigo uko poa sana na tuna amini ukikamilika kutakuwa na gumzo mjini hapa. Mafanikio mengine ni katika mwaka huu nimefanya ngoma na becka title amenishirikisha mm na felly kano ngoma inaitwa Nilisema naimesha achiwa redio bado mipango ya video tu!!!!!! Hadi hapa nilipo fikia nashukuru Mungu sana sababu hizo harakati zote nimefanya bila support za wadau na kama kuna mdau anaweza akajitokeza tukafanya kazi sababu sipo chini ya usimamizi wowote i need ur support!!! 10x its Pinda Bway am out

SHARO - Changanya Changanya

Msanii ambaye chimbuko lake ni tamthilia za kuchekesha "comedy" na kuhamia katika sanaa ya uimbaji! Sharo Millionaire aliyetamba na msemo wa "Ohhhh Mamaaa" sasa awaambia mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani anakuja kuwabamba baada ya kuvuma na ngoma ya Sharo hataki aliyomshirikisha Rich Mavocco iliyofanywa chini ya C9 R3c, sasa anakuja na ngoma kali iitwayo Changanya Changanya aliyoifanya ndani ya same Rec Kili rec (C9)
Msanii huyo anayeimba mziki kwa miondoko ya Africa Magharibi iitwayo "Kapetekalee" alisema "video ya wimbo wangu mpya upo katika maandalizo so kuanzia next week mashabiki wangu wategemee kazi yangu mtaani, pia wategeeemee ujio wa kasi sanaa coz nimeamua kuwa sirius snaaa kwenye game"
Hayo ndiyo maneno ya Sharo, Mashabiki tegemeeni mazuri toka kwake! #Oooooh Mam

MMG - Kenya

Makini Music, founded by Jackson Ngechu(Prezzo) and Ralph Masai(Cannibal) in Early January 2012
The Group was formed with the aim of recognizing,nurturing,
developing and supporting new talent,specifically artists who can not support themselves and those that are having a hard time finding support in the industry, it aims at developing its own record label and has a team ready to cover all that is required to achieve the set objectives.
Big up Prezzo & Cannibal!!!!

GET TO KNOW BAMBO - YOUNG TALENTED UPCOMING DESIGNER

Bambo is an 18 year old upcoming designer.  With 3 shows and 5 collections to prove for it. He hasn't been around in the fashion industry long, but you would be surprised what an interesting story his traits in the halls of fashion build up.  Let me tell the story to you..
              Born on 4th April 1994, it took Bambo up to 2011 for him to finally realize he could make a change in the Tanzania fashion industry. He started by successfully interviewing for an internship job at Naledi Fashion house. This Job gave him an opportunity to work under a well established designer, Miss Kemi Kalikawe.   So as to learn the insides of designing.   He acquired experience in Fashion entrepreneur-ship in the numerous work shops he set up with her;   back stage experience during Swahili Fashion week, The Vintage Cat walk Fashion show2012 and other smaller events; another experience that Bambo finds most vital is work shop duties, cause that's when he inhaled the real sense of Designing.
             Just before Bambo left the labor life for school, he landed a showcase opportunity on Naledi Fashion House's very own show, The vintage Cat walk Fashion show on 3rd March 2012. On this show,  he show cased his 2nd collection ever made, THE BEAUTIFUL BEGINNINGS COLLECTION. This was a collection beautiful high wasted skirts!!!
               There after Bambo worked on an exclusive SUMMER COLLECTION2012. That was special for a few people around him that had bought the pieces even before they were maid!!! This was a full pink and blue Collection of hot pants and Clothes for +size women..
                Afterwards Bambo Landed signed up to showcase on Dar Fashion Festival(DFF)2012. On the night of 19th August our upcoming designer show cased his BLACK BEAUTY COLLECTION. Colored brown and Black,  it was an eye catching hip and urban collection. This is when Bambo started to seriously gain people's attention.
                  Bambo's 3rd show case so far was the Tanza Fashion Gala(TFG) at Mbalamwezi Beach club on the 22nd of September. Where he showcase THE B' KISS COLLECTION. A pink and Black collection for people with boiling bloods.
                    Out of the Run way,   Bambo is taking Human Resource Management at Eckernforde Tanga university.   He is a very friendly,   dedicated, calculative Ngoni.  So rest assured that what you've seen from him is just a platform for bigger and better.
                  Let's with the Best of the best to this very young, vividly talented Fashion designer, Tanzania's Own. #Tuthamini vya nyumbani! Kwa kumuunga mkono na kujali kazi za our only youth from Tz ! Big up Bambo keep the Design classic!!!

DARCITY BANGERZ ndio Hawa Apa


(Kwny pic)From left ni Boy yung(Immo), Santanna, Lil hash and Freezy milly....together they form the Dar City Boyz....they're cooking lots of bangers.....three have been out so far including 1 mixtape...ile rackcity wameichange into Darcity...nayo iko tyt...na kuna nyingine tonite(club banger).....n lastly a song waliomuintroduce them first lady akiwepo tunamix DarcityBoyz na DarcityBabe makin one name ambayo ina form DarcityBangerz......!!! Stay tuned kwa mambo mazuri toka kwa kundi hilo!!

Haammer Q na MUUNGANO

Msanii Hammer Q amewaletea nyimbo yenye radha mpya iitwayo "Muungano", kama asemavyo mwenyewe kuwa nyimbo hiyo alitunga alipofikiria mapenzi kati ya mtu wa Zanzibar na Tanganyila na nilipo ongea nae alikua na haya ya kusema...."Huyo dem ni mtz bara mimi ni mzenji na huyo mimi ni dem wangu ss na muungano unataka kuvunjwa so wakivunja muungano wao wetu ss tuutunze, Na nina mwita aje zenji, Anasema atakuja lkn anaoogopa muamsho, Ila ameniahidi atakuja kesho...Atavuka mapema sn maana wazazi wamekubali na nauli wamempa"
 Hyo ndi Hammer Q na nilipomwambia kuwa wimbo wako una hitaji umakini kuelewa! Alijibu: "Kwa ufupi hiyo....hhahahah Ukiiskiliza kwa makini utaielewa"

VITU MWAKE TOKA KWA DARASA MZEE WA SIKATI TAMAA!!!

Darasa si jina geni sana masikioni mwa mashabiki wa Bongo flavor! Ni msanii ambaye ana tamba na ngoma ya "sikati tamaa"
Darasa ana mengi sana ambayo amewaandalia mashabiki wake mwisho wa mwaka huu, ukiwemo vide ya wimbo wake mpya una itwa "nishike mkono" alioshirikiana na mwanadad Winnie! Wimbo huo umefanywa na producer wakali wawili Gardson na mkali Maneck! Mashabiki kaeni mkao wa kula kwa vide ya wimbo huo!

Pia Darasa ameongelea tasnia mpya ambayo ameamua aifanye kutokana na wimbo wake wa sikati tamaa huku akifata nyayo za Msanii 20%! Darasa yupo katika harakati za mwisho kabisa za umaliziaji wa movie yake mpya inayo itwa "Sikati Tamaa" ambayo itakuwa mtaani mwanzoni mwa mwezi November!
Akiongea alisema movie yake, "Its all about my hustleling kutoka mtaani na miangaiko ya maisha na music kwenye mazingira magumu hasa family kua na hali mbaya maana si tumelelewa na mama tu mi na mdogo wangu." Hayo ndiyo aliyosema!
Walioshirik katika movie hiyo ni wasanii wa bongo movie na Music pia wakiwemo Godzila, Madee, Roma, Adam Mchomv, na  Dj Choka na wengine wengi sana!

Thursday, October 25, 2012

Eid Mubarak kwa Waislam wote Duniani!

Tunawatakia eid njema waislam wote, washeherekee siku ya leo kwa kufanya ibada                

Sunday, October 21, 2012

Kaeni Mkao wa Kula - Country Boy

Country Boy msanii ambaye chimbuko lake ni toka kwenye kundi la M2 Chee asema "Mashabiki wangu kaeni mkao wa kula kwani nina ngoma moja matata ambayo nita iachia Ijumaa next week lakini jina bado nafikiria kwani nawasikiliza wadau na mashabiki wangu!" Ngoma imefanyika kwa Mesen!

ALERT!!! Moto Wateketeza Maduka Tegeta(Dsm)

Moto uliowaka ghafla wateketeza baadhi  maduka yalyopo eneo la tegeta! Uchunguzi una endelea kufanyika kujua nini chanzo wakati kundi la watu likiendelea kujaribu kuuzima huo moto!

Kisa Cha Vurugu za Udini Dar

Wakati Tanzania ikiwa ni nchi ambayo inasifika sana wa wana nchi wake kuwa wakarimu na wapole wanao pendana na kushirikiana, na hata kusaidiana katika shida na raha lakini sifa zote hizo zimekuwa ndivyo sivyo pale UDINI ulipo ingilia kati kwani tukio la mtoto mdogo kukojolea kitabu cha dini cha WAISLAM walipokuwa katika ubishani! Tukio hilo lilipelekea Waislam kuleta vurugu kubwa sana uko Mbagala, ugomvi huo usababisha kuvunjwa kwa badhi ya makanisa!

Wednesday, September 12, 2012

CHRIS BROWN AKANUSHA UWEPO WA SURA YA RIHANNA KWENYE TATOO YAKE MPYA.

Mkali wa miondoko ya Rnb and Pop nchini marekani Chris Brown a.k.a Brizzy amekanusha vikali kuhusishwa na uwepo wa Sura ya mwanadada Rihanna katika Tatoo yake mpya aliyoichora hivi karibuni. baada ya vyombo vya habari mbalimbali kusambaza habari ya kwamba tatoo ya mkali huyo ina sura ya Rihanna, Chris amekanusha na kusema Tatoo hiyo si Sura ya Rihanna na badala yake ni alama yenye sura ya Mwanamke ambayo chimbuko lake ni Mexico. Tatoo hiyo inaonyesha Fuvu la mwanamke na upande mwingine sura iliyokamilika. Ni ishara inayosherehekewa nchini Mexico kukumbuka vifo..

Lakini ukizitazama kwa karibu utaona zinafanana na Rihanna kwa kiasi kikubwa sana. Kuanzia Macho, Midomo, juu ya Mdomo na alama kwenye Uso zinazoelezea mtindo maharufu wa Nywele uitwao Rihanna.



SOURCE: TMZ

NEW JOINT: GNako ft. Nikki wa 2- Bado Ngware

GNako ft Nikki wa 2- BAdo Ngware




Tuesday, September 11, 2012

MISSY ELLIOT IS BACK!!!!!!


Missy Elliott

Imekuwa kimya kirefu sana toka mkali wa miondoko ya hip hop na Rnb, Missy Elliott alipoachia album yake na single zake za mwisho, 2005.

Hivi karibuni mkali huyo amesikika akisema kuwa ameingia studio na Producer machachali mwenye beats za kumtoa nyoka pangoni, Timberland a.k.a Timbo na kufanya hits mbili kwa jina la "9th Inning" na "Triple Threat"

Single hizi zilizo pair anatarajia kuaziachia mnamo mwezi huu wa September. Tukae mkao wa kula kwa kazi hizi machachali. Dah hakuna kama Mssy kwenye flows na beats za ajabu..

We Miss you Miss Elliott....

LIL WAYNE AMSHTAKI QUINCY JONES III

LIL WAYNE

Lil wayne na Team yake ya Young Money Cash Money Brothers (YMCMB) wamemchukulia hatua za kisheria Quincy Jones kwa kutumia baadhi ya nyimbo zake katika Documentary ya Mkali huyo aliyoipa jina la "THE CARTER".
QUINCY JONES III

Ndani ya Documnetary hiho zimesikika baadhi ya nyimbo za Lil Wayne ambazo zinapatikana katika album ya Carter III iliyompa mauzo makubwa sana Lil Wayne . baadhi ya nyimbo hizo ni pamoja na "Let the Beat Build," "Lollipop,"
na  "Mr. Carter" and "A Milli".

Lil Wayne amekanusha na kusema kwamba Producers wa documentary hiyo hawakuomba kibali wala ruhusa yoyote kwake dhidi ya matumizi ya Nyimbo za mkali huyo.
SOURCE: http://www.prefixmag.com/news/lil-wayne-sues-quincy-jones-son-over-unauthorized-/68813/

Friday, September 7, 2012

Drake Awafunika Lil Wayne na Nicki Minaji:

MVA KESHO 

Mwanamuziki mahili wa miondoko ya Comesho Rap amewafunika Lil Wayne (Boss wake) na Nicki minaji katika kinyang'anyilo cha tuzo za video bora za mwaka 2012 zinazotolewa  na MTV ambazo zinatarajiwa kutolewa kesho ya tarehe 8 sept 2012. 
DRAKE JUKWAANI


Jamaa huyu amewafunika kwa kuwa na uteuzi mara 5 katika video alizofanya ambazo zilifanya vizuri sana mnamo mwaka jana. Video hizi zilizoteuliwa katika kategori tofauti ni pamoja na:

1. Video ya Mwaka: Take care ft. Rihanna
2. Video bora ya mwanaume
3. Best Art Direction
4. Best Cinematography na
5. Best Hip Hop video
Ametisha Mbaya jamaa huyuuuu.......USIKOSE KESHOOOOOOO

SOURCE: MTV BASE

 

Facebook and Twitter

Promo Sites