Ads 468x60px

Tuesday, April 16, 2013

DIAMOND AMTOLEA NJE WEMA NA KUMPAMBANISHA NA PENNY AMRIKODI NA KUSAMBAZA CLIP



 Clip iliyosambaa inayomuhusisha Wema Diamond na Penny imefika ndani ya blog yako, clip ambayo inaonekana kurecodiwa kwa maksudi na Diamond pale alipopigiwa simu na Wema Sepetu jana usiku. Inasemekana Wema alimpigia simu Diamond usiku,lakini baada ya Diamond kupokea alimtaka kuacha drama na kumsisitizia kuwa sasa hivi anampenda Penny.
maongezi yako hivi 
Diamond: mi sikufanyii drama na wala sitaki drama yoyote, am inlove with penny we unajua hilo right?
Wema: yeah your inlove with penny and i i ... 
Diamond: sipendi kwasababu sipendezewi kwasababu mwisho wa siku itakuja kutuletea matatizo drama, nakujua kitu kidogo hukawi kukifanya kikubwa mji mzima na nini na nini sitaki.
Penny: hallo, which one is this? hallo hallo 
Wema: mmmh
Penny: hallo
Wema: mh 
Penny: we want to sleep mamy
Wema: heey my angle poa
Penny: baby wacha tulale ya?
Wema: mmh
Penny: wacha sisi tulale 
Wema: uko poa
Penny: niko poa mamy yangu, can you let us sleep now mmh, si hatutaki matatizo na wewe we usitake matatizo na sisi, lets just live one happy life
Wema: he told you am the one who is troubling him 
Penny: yeah but you are always trying to cause trouble wema, your always trying to cause trouble, when did you want something peaceful,when? i mean when he said look here, when he said, he is in love with me, i dont know, for some reasons i expected you to respect that, because all you have done is to bring us trouble, seriously, and all this things you do, they tell us kwamba wewe ndio unafanya, so lets just see......you sleep, us guys sleep, and act like this comversation never even happened, good night, good night, wema , wema (kimya)
Diamond: nadhani dishi wenyewe mmelisikia, haina haja ya kuongea sana, mmewasikiliza, tulikuwa niko mimi halima kimwana, na mke wangu hapa, mimi ndio nimepigiwa simu na wema nabembelezwa, bahati mbaya kakuta nambaya, pia nikampa baby aongee nae, kumjulisha jinsi gani niko inlove, asanteni sana nilikua narecord mi mwandishi wako Nasib Abdul Juma, nashkuru sana  sana!!!

MADEE KUTOA VERSION MBILI ZA "POMBE YANGU" NA DVD KWA MASHABIKI SIKU YA UZINDUZI



Mwezi huu wa nne ndio mwezi ambao madee amepata mafanikio kwa mara nyingine tena, baada ya kuachia ngoma inayofanya vizuri sana kwenye chati mbali mbali na kwenye maskio na midomo ya watu wengi, hata kufikia kuingia katika nafasi ya kwanza kwenye best chat show bongo "top 20" ya Clouds Fm. Lakini pia ni mwezi ambao amezaliwa yeye, na kufikisha miaka yake kadhaa siku ya tarehe 23, na tarehe 21 anatarajia kufanya uzinduzi wa video ya wimbo wake "pombe yangu" ndani ya maisha club, akizungumza na blog hii, Madee amesema, anatarajia kuachia video mbili za wimbo huo, moja ikiwa ni ya kiasili na nyingine ya kimjini mjini. Licha ya kuachia video hizo, Madee pia atatoa dvd kwa mashabiki kwenda kuzitazama ka muda wao kutokana na kuelewa matatizo yanayotokana na kuhamia kwenye digitali. kwenye show ya uzinduzi huo, atakuwepo pia , Bibi cheka, Diamond pamoja na Tunda man.

DOWNLOAD 'MAPENZI BASI' YA DIAMOND

DOWNLOAD SEMBULE YA MATONYA



 

Facebook and Twitter

Promo Sites