Ads 468x60px

Thursday, October 25, 2012

Eid Mubarak kwa Waislam wote Duniani!

Tunawatakia eid njema waislam wote, washeherekee siku ya leo kwa kufanya ibada                

Sunday, October 21, 2012

Kaeni Mkao wa Kula - Country Boy

Country Boy msanii ambaye chimbuko lake ni toka kwenye kundi la M2 Chee asema "Mashabiki wangu kaeni mkao wa kula kwani nina ngoma moja matata ambayo nita iachia Ijumaa next week lakini jina bado nafikiria kwani nawasikiliza wadau na mashabiki wangu!" Ngoma imefanyika kwa Mesen!

ALERT!!! Moto Wateketeza Maduka Tegeta(Dsm)

Moto uliowaka ghafla wateketeza baadhi  maduka yalyopo eneo la tegeta! Uchunguzi una endelea kufanyika kujua nini chanzo wakati kundi la watu likiendelea kujaribu kuuzima huo moto!

Kisa Cha Vurugu za Udini Dar

Wakati Tanzania ikiwa ni nchi ambayo inasifika sana wa wana nchi wake kuwa wakarimu na wapole wanao pendana na kushirikiana, na hata kusaidiana katika shida na raha lakini sifa zote hizo zimekuwa ndivyo sivyo pale UDINI ulipo ingilia kati kwani tukio la mtoto mdogo kukojolea kitabu cha dini cha WAISLAM walipokuwa katika ubishani! Tukio hilo lilipelekea Waislam kuleta vurugu kubwa sana uko Mbagala, ugomvi huo usababisha kuvunjwa kwa badhi ya makanisa!
 

Facebook and Twitter

Promo Sites