Ads 468x60px

IJUE PROMO CODE


TUJUE:
Promo Code ni blog ambayo imeanzishwa mnamo January 2012 kwa lengo la kutoa msaada kwa wasanii ambao wanahitaji kupata nafasi ya kujulikana katika ulimwengu wa burudani nchini Tanzania. Tunaposema uwanja wa burudani tunamaanisha kupata Promotion ili kazi zao ziweze kufahamika nchini Tanzania na duania nzima kwa ujumla kwa njia ya Mtandao.

SUPPORT TUNAZOTOA:
Tunafanya kazi ya promotion zifuatazo:

1. Single za wasanii wa Tanzania (Downloads, iTunes Promo)
2. Album za wasanii wa Tanzania(Downloads, iTunes Promo)
3. Mixtape za Wasanii (Downloads, Live Streams, iTunes Promo)
4. Documentary za wasanii wa Tanzania
5. Movie/ Filamu Mpya
6. Kutangaza Story/ Profile za Wasanii.

MBINU:
Tunatumia mfumo wa ku-share nyimbo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hasa hasa Facebook, Twitter na Google Plus kwani inaaminika mitandao hii ina watumiaji wengi sana ambao ni vijana na wanapenda kupata habari za wasanii na kusikiliza kazi zao pia.

TERMS AND CONDITION:
Msanii anazapohitaji tuitangaze  nyimbo/ kazi zake ina maana amekubaliana na mambo yafuatayo.
1. Nyimbo/ kazi/habari yake itasikilizwa na kushushwa (Download) na watu wengi duniani.
2. Promo Code haitahusika na uvunjifu wa hati miliki utakaotokea kwa njia ya mtandao (Copy rights).

FREE PROMOTION:
Promo Code haitahitaji fedha yoyote kwa ajili ya promotion ya Kazi za burudani zilizotajwa hapo juu. Huduma hii ni kwa kila mtu na ni bureeeeee kabisaaaa....



 

Facebook and Twitter

Promo Sites