Ads 468x60px

PROMOTE BURE

Kama unahitaji tukutangazie kazi zako za muziki na zinginezo zilizotajwa hapo chini tafadhari tumia mawasiliano hayo hapo chini:

E-mail: promocode255@gmail.com (Tumia hii email kutuma habari/Nyimbo zako)

KAZI ZINAZOTANGAZWA BURE:

1. Single za wasanii wa Tanzania (Downloads, iTunes Promo)
2. Album za wasanii wa Tanzania(Downloads, iTunes Promo)
3. Mixtape za Wasanii (Downloads, Live Streams, iTunes Promo)
4. Documentary za wasanii wa Tanzania
5. Movie/ Filamu Mpya
6. Kutangaza Story/ Profile za Wasanii.


ANGALIZO:Kwa wale wanohitaji kutangaziwa kazi zao wanatakiwa kufanya mambo yafuatayo:
1. Attach file la kazi (nyimbo) katika format ya Mp3.
2. Weka maelezo mafupi ya kazi yako pamoja na wewe pia.
3. Weka picha nzuri ambayo itasindikiza habari yako na kuwavutia watu kuisomaPhone: +255713511041


 

Facebook and Twitter

Promo Sites