Ads 468x60px

Recommended Post Slide Out For Blogger

Friday, April 5, 2013

CHRIS BROWN AMPA BIG UP WIZKID KUPITIA KIPINDI CHA 106 & PARK

Chris Brown na WizKid kutoka Nigeria wanaonekana kuwa marafi sana, kutiokana na kuonekana katika media pamoja miezi hii ya karibuni, Chris alimuita kama surprise kwenye show yake aliyoifanya Nigeria pamoja na show aliyoifanya nchini Ghana
 wakati Breezy akiwa mgeni katika kipindi cha 106 & park akipromoti single yake na album yake ijayo, alitoa shout out kwa WizKid pamoja na style ya Azonto ambayo aliikuta huko na kufundishwa na WizKid, na kusisitiza kuitumia katika moja ya video zake …
Chris Brown na WizKid kutoka Nigeria wanaonekana kuwa marafi sana, kutiokana na kuonekana katika media pamoja miezi hii ya karibuni, Chris alimuita kama surprise kwenye show yake aliyoifanya Nigeria pamoja na show aliyoifanya nchini Ghana
 wakati Breezy akiwa mgeni katika kipindi cha 106 & park akipromoti single yake na album yake ijayo, alitoa shout out kwa WizKid pamoja na style ya Azonto ambayo aliikuta huko na kufundishwa na WizKid, na kusisitiza kuitumia katika moja ya video zake 
kipindi cha nyuma 2012, iliripotiwa kuwa American Rap Star Wale  na Nigerian boy star WizKid wanafanya kazi ya pamoja katika moja ya studios USA na WizKid alithibitisha ripoti hizo pale ali upload picha hiyo hapo juu kupitia instagram na kuandika “We just made a dope joint!!” siku ya tarehe on 31 August 2012.
muda mrefu hujapita pia Wale alitangaza ujio wa album yake ya tatu  “The Gifted” kutoka mwaka huu, na aliulizwa na mmoja wa mashabiki wake msanii anaempenda kutoka Africa na akajibu kwa kuandika tu  – Wizkid
Sasa hivi WizKid amethibitisha kumshirikisha Wale kwenye mixtape yake ya nne itakayotoka baadae mwaka huu wakati alipokua akifanya interview na OK! Nigeria TV 
 

Facebook and Twitter

Promo Sites