Ads 468x60px

Recommended Post Slide Out For Blogger

Friday, April 5, 2013

JAY Z BEYONCE NDANI YA CUBA KUSHEREHEKEA ANIVERSARY YAO

Jay-Z na Beyonce wameamua kudondoka Cuba kusherehekea miaka yao 5 tangu walipofunga ndoa yao.
katika kusherehekea miaka hiyo 5 inasemekana Jay na Bey wamesafiri na familia yao wiki hii kuelekea Havana kwenye sherehe hiyo muhim

Rap-up.com wameripoti kuwa wawili hao wameungana na mama zao wote wawili
 (Tina Knowles and Gloria Carter) kwenye safari hiyo na kutembelea sehem mbali mbali katika mji huo wa kihistoria ikiwa  ni pamoja na Colonial Old Havana


 Beyonce na Jay-Z walioana kisiri siri april 4 2008, kwenye sherehe zilizofanyika kwenye apartment ya Jay Z iliyoki New York, wageni waalikwa wakiwemo Chris Martin, Kelly Rowland, Gwyneth Paltrow, na Michelle Williams.
 

Facebook and Twitter

Promo Sites