Ads 468x60px

Recommended Post Slide Out For Blogger

Wednesday, October 31, 2012

Haammer Q na MUUNGANO

Msanii Hammer Q amewaletea nyimbo yenye radha mpya iitwayo "Muungano", kama asemavyo mwenyewe kuwa nyimbo hiyo alitunga alipofikiria mapenzi kati ya mtu wa Zanzibar na Tanganyila na nilipo ongea nae alikua na haya ya kusema...."Huyo dem ni mtz bara mimi ni mzenji na huyo mimi ni dem wangu ss na muungano unataka kuvunjwa so wakivunja muungano wao wetu ss tuutunze, Na nina mwita aje zenji, Anasema atakuja lkn anaoogopa muamsho, Ila ameniahidi atakuja kesho...Atavuka mapema sn maana wazazi wamekubali na nauli wamempa"
 Hyo ndi Hammer Q na nilipomwambia kuwa wimbo wako una hitaji umakini kuelewa! Alijibu: "Kwa ufupi hiyo....hhahahah Ukiiskiliza kwa makini utaielewa"
 

Facebook and Twitter

Promo Sites