Ads 468x60px

Recommended Post Slide Out For Blogger

Wednesday, October 31, 2012

SHARO - Changanya Changanya

Msanii ambaye chimbuko lake ni tamthilia za kuchekesha "comedy" na kuhamia katika sanaa ya uimbaji! Sharo Millionaire aliyetamba na msemo wa "Ohhhh Mamaaa" sasa awaambia mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani anakuja kuwabamba baada ya kuvuma na ngoma ya Sharo hataki aliyomshirikisha Rich Mavocco iliyofanywa chini ya C9 R3c, sasa anakuja na ngoma kali iitwayo Changanya Changanya aliyoifanya ndani ya same Rec Kili rec (C9)
Msanii huyo anayeimba mziki kwa miondoko ya Africa Magharibi iitwayo "Kapetekalee" alisema "video ya wimbo wangu mpya upo katika maandalizo so kuanzia next week mashabiki wangu wategemee kazi yangu mtaani, pia wategeeemee ujio wa kasi sanaa coz nimeamua kuwa sirius snaaa kwenye game"
Hayo ndiyo maneno ya Sharo, Mashabiki tegemeeni mazuri toka kwake! #Oooooh Mam
 

Facebook and Twitter

Promo Sites