Ads 468x60px

Recommended Post Slide Out For Blogger

Friday, September 7, 2012

Drake Awafunika Lil Wayne na Nicki Minaji:

MVA KESHO 

Mwanamuziki mahili wa miondoko ya Comesho Rap amewafunika Lil Wayne (Boss wake) na Nicki minaji katika kinyang'anyilo cha tuzo za video bora za mwaka 2012 zinazotolewa  na MTV ambazo zinatarajiwa kutolewa kesho ya tarehe 8 sept 2012. 
DRAKE JUKWAANI


Jamaa huyu amewafunika kwa kuwa na uteuzi mara 5 katika video alizofanya ambazo zilifanya vizuri sana mnamo mwaka jana. Video hizi zilizoteuliwa katika kategori tofauti ni pamoja na:

1. Video ya Mwaka: Take care ft. Rihanna
2. Video bora ya mwanaume
3. Best Art Direction
4. Best Cinematography na
5. Best Hip Hop video
Ametisha Mbaya jamaa huyuuuu.......USIKOSE KESHOOOOOOO

SOURCE: MTV BASE

 

Facebook and Twitter

Promo Sites