Darasa ana mengi sana ambayo amewaandalia mashabiki wake mwisho wa mwaka huu, ukiwemo vide ya wimbo wake mpya una itwa "nishike mkono" alioshirikiana na mwanadad Winnie! Wimbo huo umefanywa na producer wakali wawili Gardson na mkali Maneck! Mashabiki kaeni mkao wa kula kwa vide ya wimbo huo!

Akiongea alisema movie yake, "Its all about my hustleling kutoka mtaani na miangaiko ya maisha na music kwenye mazingira magumu hasa family kua na hali mbaya maana si tumelelewa na mama tu mi na mdogo wangu." Hayo ndiyo aliyosema!
Walioshirik katika movie hiyo ni wasanii wa bongo movie na Music pia wakiwemo Godzila, Madee, Roma, Adam Mchomv, na Dj Choka na wengine wengi sana!