Ads 468x60px

Labels

Showing posts with label BONGO NEWS. Show all posts
Showing posts with label BONGO NEWS. Show all posts

Saturday, January 18, 2014

DIAMOND PLATNUMZ - HE'S LIVING BIG (NDINGA MPYA + SWIMMING POOL CONSTRUCTION @ HIS NEW HOME)

DIAMOND & HIS NEW RIDE
Diamond Plutnumz he's living like how stars wanatakiwa kuishi, kwanza anajipenda, ana jijali na ana ogopa kushuka kimziki na kimafanikio.
Na ndio maana huyu jamaa anafanikiwa sana kwa upande wote wa muziki na maisha ya kawaida, anapenda kujiwekea ili kesho asi aibike, kila anapopata bahati ya kusafiri nje ya tanzania, anapenda kuitumia fursa vilivyo.
Hapo ni muonekano wa ujenzi wa swimming pool nyumbani kwake Platnumz ambako anapasubiri kwa hamu sana kwani bado ana endelea na ujenzi!
Go getta bro...Kila kheri....wakilisha TZAs abroad wafahamu kuwa na sisi WE CAN!

Wednesday, January 15, 2014

DJCHOKA: HIZI NDIZO SABABU ZANGU KWANINI NIMEPUMZIKA KAZI YA UDJ

Leo naomba niwatangazie wadau wangu na mashabiki wote waliokuwa wakinipenda kipindi nikiwa nawadj wasanii wa hapa nchini na hata wale wasanii waliokuwa wakitoka nje ya bongo. Natangaza rasmi kupumzika kazi hii ya uDJ niliyoanza nayo toka 2005 mpaka leo, sababu za kupumzika nimeona nipumzishe uDJ niendelee na kazi inayoniingizia kipato nazungumzia website yangu hii tokea ikiwa ni blog.

Kazi ya kudj wasanii ni kazi fulani nzuri lakini ni ngumu sana usipokuwa na hobby nayo, nimeifanya kazi hii kwa mapenzi yangu mwenyewe yakupenda mziki na sikuwahi kulalamika mslahi ninayoyapata kwasababu niliifanya kazi hii kwa mapenzi yangu mwenyewe hata napokuwa jukwaani nilikuwa nafurahia sana. Lakini kwa kuwa kazi hii ya kuandika habari na kuonyesha kazi za wasanii wa hapa nchini ndio inayonilipa vizuri basi naona sina budi kupumzisha kimoja ili niendelee na kimoja

Baada ya kupumzisha kazi yakudj kwenye majukwaa na kuwadj wasanii sasa nitakuwa naendelea na kazi yakuvumbua vipaji vya wasanii pia nitaendelee na mix tape zangu kama kawaida. Msanii atakayenihitaji sasa hivi basi ujue itakuwa kazi yakwenda kupiga picha show zake au kurecord show zake TU akiwa jukwaani. Mbali na hapo nitaendelea kupromoti mziki wa nyumbani na wasanii wake mpaka mwisho wangu. Nawakaribisha madj wadogo ambao mlipenda kuwa madj wa wasanii na hamkujua jinsi yakuanzia, nitawashauri na pia nitawafundisha njia za kuwadj wasanii hususani wasanii wa Hip Hop na Bongo Fleva unacheza nao vipi unapokuwa nao jukwaani.
Nawapenda sana wadau wote wa DJCHOKA MUSIC kwasababu bila nyie hakuna mimi
ONE
DJ CHOKA

Thursday, December 19, 2013

NEW BABKUBWA MAG ISSUE

Toleo kipya la babkubwa magazine soon litakua mtaanni. Get ready kulisoma maana sio la kukosa!

Friday, April 5, 2013

DIAMOND PLATNUMZ NA KANGA MOKO WAWEKA HISTORIA BUKOKA (BKB)

Diamond alizungumza haya...Napenda kuchukua Nafasi Hii Kumshukuru mungu kwa
 uzima na afya tele aliyonijalia.....
Mpaka kuwasili salama bukoba tarehe 30 march mwaka huu
.....Pia napenda kuwashukuru mashabiki
wote wa mjini bukoba waliojitokeza kwa wengi katika 
usiku wa wasafi mjini bukoba..
Mashabiki walifurika kufikia kunifanya mimi kuwa na 
furaha na faraja kubwa wakati nipo
stejini....na kuzidi kufanya manjonjo mengi na ujuzi
mwingi nikiwa stejini kama kawaida yangu...

Nilikinukisha vilivyo kama kawaida yangu...Nikiwa
 na Silaha zangu za maangamizi
Jeshi la wasafi kwenye Steji....na Kuweka Historia 
Mpya ndani ya Bukoba kuwa 
mwanamuziki wa kwanza kupiga show mwenyewe na
 kujaza watu zaidi ya 3,000 hadi 
 kufikia Uongozi kusitisha kuuza Ticket kutokana na
 Jeshi la Polisi kutoa 
taharifa ingweza kutokea mahafa kama ilivyotokea
 kabla ya Mimi kupanda
Jukwani.....

Zifuatazo ni Picha za Show Ndani ya Bukoba....!!





Taratibu....Mdogo mdogo kusongesha mzigo...!!











Love ilitawala kwa mashabiki kufikia mimi kuvutwa chini na mashabiki 
ukumbini humo...!! kweli mashabiki wa BUKOBA walikuwa na mizuka...!!






Mikono Juu......wotee wotee....!!
Mizuka ishapanda sasa....Ni kukinukisha mpera mpera 
mwanzo mwisho...!!

Camera Man na mashabiki awakuwa nyuma kupiga picha za 
ukumbusho mahana
historia mpya iliwekwa ndani ya jiji la wahaya.....!!





kwenye show viuno mbele mbele...... aghaaa mule mule...!!



Mambo ya kanga moja laki si pesa.....walikuwemo pia....!!

KITU ndembe ndembe...kanga mpya ailoi maji......
!! kit6u ndembe ndembe....!!

kitu mwake waacha weeee....agha ghaaaaaaaa .......laki si pesa
milioni pocketman...!!

 

Features

Facebook and Twitter

Promo Sites