Ads 468x60px

Friday, September 7, 2012

Drake Awafunika Lil Wayne na Nicki Minaji:

MVA KESHO 

Mwanamuziki mahili wa miondoko ya Comesho Rap amewafunika Lil Wayne (Boss wake) na Nicki minaji katika kinyang'anyilo cha tuzo za video bora za mwaka 2012 zinazotolewa  na MTV ambazo zinatarajiwa kutolewa kesho ya tarehe 8 sept 2012. 
DRAKE JUKWAANI


Jamaa huyu amewafunika kwa kuwa na uteuzi mara 5 katika video alizofanya ambazo zilifanya vizuri sana mnamo mwaka jana. Video hizi zilizoteuliwa katika kategori tofauti ni pamoja na:

1. Video ya Mwaka: Take care ft. Rihanna
2. Video bora ya mwanaume
3. Best Art Direction
4. Best Cinematography na
5. Best Hip Hop video
Ametisha Mbaya jamaa huyuuuu.......USIKOSE KESHOOOOOOO

SOURCE: MTV BASE

Thursday, September 6, 2012

VOTE FOR AY NA CPWAAA

AY & CPWA FROM TANZANIA

AY MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR
*AY ft Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 14J kwenye simu yako na tuma ujumbe kwenda +27 83 920 8406 (makato ni ya meseji ya kawaida)
MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO
*AY ft Sauti Sol – I Don’t Want To Be Alone andika 13C kwenda +27 83 920 8406
MOST GIFTED MALE VIDEO
*AY ft. Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 1E kwenda 
+27 83 920 8406
MOST GIFTED DANCE VIDEO 
Cpwaa – Hmmm andika 5F kwenda .
+27 83 920 8406

TUSISUBILI WASHINDWE TUANZE LAUMU. PIGA KURA KIRAHISI KWA LINK HAPO CHINI:

DSTV

CHANNEL O ON FACEBOOK

Tuesday, September 4, 2012

NEW JOINT: BEN POL(PETE)

Ben Pol
New Joint by BEN POL goes by the name of PETE done At Classic Sounds.

NEW JOINT: QUICK ROCKA FT. BELLA

New Joint of Quick Rocka ft. Bella. Beat by Giggs, Vocal, Mixing and Mastering by Macko Chali

NEW JOINT: GOSBY-EVERYDAY

Gosby Has realeased a new Joint. Download and Enjoy

INTRODUCING ZERO FT. MR BLUE

New talent kwa jina la Zero kutoka Mkoani morogoro. Ni masanii ambaye kwa kweli naweza sema ni wa pili kwa uwezo wa ki-RnB mkoani Morogoro ambaye anakuja kumuweka belle 9 katika wakati mgumu baada ya kuibuka na kufanya ngoma kali inayoitwa SIKUELEWI akimshirikisha Mr. Blue a.k.a Kabaisa.
 

Facebook and Twitter

Promo Sites