NEW HIT:TINTO-JANJA JANJA
-
New Kid anaekwenda kwa jina la* TiNTO* amekuja na nyimbo ambayo kwa haraka
tunaweza sema ndio inamtambulisha rasmi kwenye tasnia ya muziki wa kizazi
kipya...
Thursday, October 25, 2012
Sunday, October 21, 2012
Kaeni Mkao wa Kula - Country Boy
Country Boy msanii ambaye chimbuko lake ni toka kwenye kundi la M2 Chee asema "Mashabiki wangu kaeni mkao wa kula kwani nina ngoma moja matata ambayo nita iachia Ijumaa next week lakini jina bado nafikiria kwani nawasikiliza wadau na mashabiki wangu!" Ngoma imefanyika kwa Mesen!
ALERT!!! Moto Wateketeza Maduka Tegeta(Dsm)
Moto uliowaka ghafla wateketeza baadhi maduka yalyopo eneo la tegeta! Uchunguzi una endelea kufanyika kujua nini chanzo wakati kundi la watu likiendelea kujaribu kuuzima huo moto!
Subscribe to:
Posts (Atom)


