Ads 468x60px

Tuesday, November 13, 2012

Officially Video ya Rihanna - Diamonds

RICK ROSS ABURUZWA MAHAKAMANI KWA KUKIUKA MASHARTI YA MKATABA


Mkali wa Hip Hop kutoka nchini Marekani ambaye hivi karibuni aliitikisa Bongo pale alipopanda jukwaani wakati wa kilele cha Fiesta mwaka huu, Rick Ross,yupo matatani baada ya kushtakiwa na wadhamini wa show aliyofanya hivi karibuni huko Miami.

Ilikuwaje?Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali ikiwemo AllHipHop,kampuni ya SM Global Union ilikuwa imeingia mkataba na Rick Ross (Rozay) kwamba atapiga show isiyopungua lisaa lizima.Ilikuwa alipwe $90,000. Tofauti au kinyume na mkataba huo,Rick Ross, alikuwepo jukwaani kwa jumla ya dakika 15 tu. Kufuatia kitendo hicho,waandaji hao wameamua kumburuza Rick Ross mahakamani na kudai jumla ya $226,000 kama fidia.

HII NDIYO LIST YA TOP 12 YA SHINDANO LA ''THE VOICE''

The Voice-0003-20121002-71.jpgThe Voice
 

Facebook and Twitter

Promo Sites