
Lady Gaga jina ambalo si geni masikioni mwa wapenzi wa music, kwani ni mmoja kati ya wasanii wa kubwa na mwenye vituko kila kukicha!!Lady Gaga showed her love for her Brazilian fans from the balcony akiwa kwenye hotel uko
Rio de Janeiro mapema wiki hii. The singer stepped out bila kuvaa ngup ya aina yoyote maneo ya chini ila alivaa bright yellow soccer shirt ka una vyomwaona kwenye picha!