Wakati final za "Twilight" film captivated celebrities on the west coast
Monday night, the east coast was all about the 22nd annual Glamour
Women of the Year Awards held at Carnegie Hall in New York City.
Selana Gomez alifanya mwonekano wake wa kwanza in public uwe wa mshangao toka awe kimya baada ya skendo ya kuachana na msanii mwenzake yankie JB. Ila si Justin wala Selena hakuna aliye ongelea hili jambo!
The singer/actress wore a white lace Giambattista Valli dress and Rupert
Sanderson heels. She carried a Judith Leiber clutch and wore a dazzling
Graziela cocktail ring!!!
Gomez alipata Independent Spirit Award for her film, music and
charity work. Others honored at the event included "Girls" creator Lena
Dunham, photographer Annie Leibovitz, and female Olympic gold medal
winners.
NEW HIT:TINTO-JANJA JANJA
-
New Kid anaekwenda kwa jina la* TiNTO* amekuja na nyimbo ambayo kwa haraka
tunaweza sema ndio inamtambulisha rasmi kwenye tasnia ya muziki wa kizazi
kipya...