Ads 468x60px

Wednesday, October 31, 2012

Mfahamu Pinda Bwoy from Kino G'z

Pinda bway hez da new Hip-hop n High pitch regge artst started music in 2006 official. Pia nimesha fanya kazi na wasanii wengi tu wana julikana na wasio julikana kwa kuanza ngoma yangu ya kwanza nilifanya dhahabu rec kwa dully kitambo kidogo na msanii anae chipukia pia anaitwa Dan Rock ngoma ya pili ilikuwa inaitwa safari nilifanya na mwanangu mmoja ambae nipo nae kundi moja yeye anaitwa Fuvu Bway na C.E.O wa studio yetu masanjuo recor Mr.Vs pia tupo wote kwenye kundi letu inaloitwa Kino G'z hiyo ngoma ali produce Monangastar. Pia baada ya hapo nilifanya ngoma nyingi tu kali moja alinipa ft Jux pia kuna kollabo inaitwa hii ndo time ya machizi ku shine Chorus yupo Belle9 alafu watu kibao tumepasuka humo mm nipo verse ya tatu ya mwisho akitoka young D ..... 2011 nilifanya mkono na Monagangstar ambao ulikuwa hauna chorus ila ben pol amemaliza hilo tatizo na nyimbo iko tayari ila bado kutolewa kwahiyo watu wakae tayari. Pia kundi letu kama Kino G'z tumefanya mixtape ambayo ina nyimbo kama kumi ila kuna baadhi ya ngoma bado kukamilika but mzigo uko poa sana na tuna amini ukikamilika kutakuwa na gumzo mjini hapa. Mafanikio mengine ni katika mwaka huu nimefanya ngoma na becka title amenishirikisha mm na felly kano ngoma inaitwa Nilisema naimesha achiwa redio bado mipango ya video tu!!!!!! Hadi hapa nilipo fikia nashukuru Mungu sana sababu hizo harakati zote nimefanya bila support za wadau na kama kuna mdau anaweza akajitokeza tukafanya kazi sababu sipo chini ya usimamizi wowote i need ur support!!! 10x its Pinda Bway am out

SHARO - Changanya Changanya

Msanii ambaye chimbuko lake ni tamthilia za kuchekesha "comedy" na kuhamia katika sanaa ya uimbaji! Sharo Millionaire aliyetamba na msemo wa "Ohhhh Mamaaa" sasa awaambia mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani anakuja kuwabamba baada ya kuvuma na ngoma ya Sharo hataki aliyomshirikisha Rich Mavocco iliyofanywa chini ya C9 R3c, sasa anakuja na ngoma kali iitwayo Changanya Changanya aliyoifanya ndani ya same Rec Kili rec (C9)
Msanii huyo anayeimba mziki kwa miondoko ya Africa Magharibi iitwayo "Kapetekalee" alisema "video ya wimbo wangu mpya upo katika maandalizo so kuanzia next week mashabiki wangu wategemee kazi yangu mtaani, pia wategeeemee ujio wa kasi sanaa coz nimeamua kuwa sirius snaaa kwenye game"
Hayo ndiyo maneno ya Sharo, Mashabiki tegemeeni mazuri toka kwake! #Oooooh Mam

MMG - Kenya

Makini Music, founded by Jackson Ngechu(Prezzo) and Ralph Masai(Cannibal) in Early January 2012
The Group was formed with the aim of recognizing,nurturing,
developing and supporting new talent,specifically artists who can not support themselves and those that are having a hard time finding support in the industry, it aims at developing its own record label and has a team ready to cover all that is required to achieve the set objectives.
Big up Prezzo & Cannibal!!!!
 

Facebook and Twitter

Promo Sites